Ili kutuma midia, hati, viungo, eneo, au anwani, lazima kwanza uruhusu programu kufikia Anwani zako, Picha, Kamera, au Huduma za Mahali katika Mipangilio ya simu yako > Faragha.
- Fungua gumzo la mtu binafsi au la kikundi. Gusa
.
- Ili kupiga picha au video haraka, gusa
.
- Ili kutuma picha au video, gusa
.
- Ili kuambatisha hati, gusa
.
- Ili kutuma anwani, gusa
.
- Gusa
au Tuma, ikiwa utaombwa.
Tafadhali kumbuka taarifa zifuatazo:
- Hati: kuchagua hati ya hadi GB 2 kutoka iCloud Drive au programu zingine kama vile Hifadhi ya Google, Dropbox, n.k.
- Eneo: kutuma eneo lako au mahali palipo karibu.
- Anwani: kutuma taarifa za anwani. Kwa chaguo-msingi, maelezo yote yaliyohifadhiwa katika kitabu cha anwani cha simu kwa anwani iliyochaguliwa yatashirikiwa. Gusa Inayofuata. Gusa vipengee kwenye skrini ya Shiriki Anwani ili kuondoa uteuzi wa taarifa ambazo hutaki zishirikiwe.